Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2023

MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI

MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI NDANI YAKO ZINAZOJITOKEZA KUKUTESA Mstari wa kutuongoza ni huu.👇👇👇 Ayubu 18:11 [11]Matisho yatamtia hofu pande zote,  Na kumfukuza karibu na visigino vyake.  . Matisho au Wasiwasi Husababisha mtu awe na hofu na Anapotengenenza hofu tayari hutengeneza Ugonjwa Ambao huathiri mifumo ya ufahamu kwake nakupelekea Awe na hofu uliobatana na Woga. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  WhatsApp +255759861768 KABLA HUJAOMBA TAMBUA HAYA. 1.Hofu imekujaje kwako kuna habari umesoma imekutisha au taarifa umepokea. 2.Anza Kwa Kufuta hiyo Taarifa au Video uliyotazama ikakutisha Sababu ndani yake adui ametumia hilo neno akuingie. 3.Omba kwa kufata maelekezo ya kwenye ombi kila uombalo. 4.Ukimaliza andaa Sadaka yako uliyonayo Mwishoni mwa maombi kuna maelekezo ya uombeaji Sadaka yako ukiituma unanipigia unaniambia ulikuwa maombi fulani 5.Maombi haya utaomba siku ta...

MAOMBI YA UKOMBOZI KUTOKA KWENYE ROHO YA KUKATALIWA

MAOMBI YA UKOMBOZI KUTOKA KWENYE ROHO YA KUKATALIWA. Kukataliwa ni kukosa kibali kwa wanadamu kila unalofanya Wanakudharau na kukucheka saa nyigine Kukudhihaki. Ukiwa una roho hii utapata wachumba wanakukataa ukienda kuomba kazi napo wakupokelea documents lakini nafasi za kazi hakuna kama ni kijana mwanamke anakuwa hakupendi kila unayemtongoza hakukubali hii roho kwa ufupi ni mbaya.sana. Nayekuletea maombi haya Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Twende Tukaombe Wote MSTARI TUTAKAOSIMAMA NAO. 👇👇👇👇👇👇 1 Timotheo 4:4-5 [4]Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;  [5]kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.  HATUA ZA KUFATA MUONGOZO WA KUOMBA           1.ANZA NA TOBA  Omba toba kila eneo ulilokosana na Mungu        2.MSHUKURU MUNGU  Mwelezee uzuri wake  mwambie umeniumba vizuri nafurahia uzuri ulionipa Bwana. MTIRIRIKO WA UOMBA...