Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2023

SOMO. Tabia za Mkristo wa Kweli

SOMO:TABIA ZA MKRISTO. . Tunaposema Tabia Mienendo Ya Mkristo Unapokuwa huna Tabia hizi Halafu Unatuambia wewe Mkristo Unatupa mashaka Sana Ambao ni Wakristo. Kuna wegine hata wakikutana na mchungaji wao wanamuita mtumishi  au Baba mchungaji Au Mchungaji hana Ujasiri wa kuita Baba kwakuwa hana Sifa na Tabia za Kikristo Mchungaji Yoyote anayekulea kiroho Haijalishi awe mdogo kwako au mzee muite Baba Hii ndiyo Sifa Ya ukristo Baba Si Kwamba unampa utukufu heshima kama amri ya Nne waheshimu Baba na mama upate miaka mingi heri na Baraka nyigi zipo kwa wazazi wa kiroho. Naitwa Pastor Richard Nakukaribisha Somo hili Soma Kwa Utulivu na Kwa Umakini  Poiti hizi 1:Awe mtu wa Kuhudhuria ibada. Waebrania:10:25 Huwezi Ukajiita Mkristo halafu kanisani huendagi Hapana huo siyo ukristo ni upangani wa kiroho.  2:Awe mtu wa ibada nyumbani Kwake. Matendo.5:42 Huwezi Ukajiita Mkristo halafu Usiwe mtu wa Ibaada nyumbani Usiku ukifika nyumba haina ibada kila mtoto anaenda kulala hamjafanya ib...

SOMO; KUSIFU NA KUABUDU

SOMO: SIFA NA VIGENZO VYA MTU WA SIFA NA KUABUDU KANISANI Hizi sifa zinalenga watu wote wanaokuwa wanatuongozea sifa na kuabudu kanisani Kuna Vincenzo Mungu huvitazama ili ashuke katika ibada ya kusifu na Kuabudu Karibu nakala hii imeandaliwa na mtumishi wa Mungu Pastor Richard yupo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp yake mfate inbox +255759861768 sifa zifuatazo Za Mtu Anayemuabudu Mungu 1) Anakiroho kizuri/ameokoka vizuri –(Yoh4:23, Yak2:19) 2) Awe na kiu ya kumjua Mungu –msomaji wa Neno, mwombaji, mshuhudiaji na anaukulia wokovu (1Pet2:2, Mith8:17-kumtafuta Mungu kwa bidii) 3) Awe na wito (1Kor12:28-maongozi, Efe4:11-15, kila kiungo kufanya kazi yake ,Mith17:8- kipawa/kito cha thamani ) 4) Ajitoe sadaka (sacrifice) (Rom12:1)/Moyo safi ,mikono safi ,unyofu wa moyo –Zab.24:3-4, 33:1, 51:17, Isa57:15,66:2b , 5) Aishi maisha matakatifu (hana udunia wala haleti udunia kwenye ibada)-Mtakatifu /aliyetakaswa/mtauwa –Zab149:5, Ebr13:15, Yoh13:3-10, 1Yoh1:9. 6) Dhamiri safi –Ebr10:22  7) Unyeny...

SOMO:Faida za Kufunga

KUNDI LA TANO (5)LITAOMBEA MAHITAJI YA WATU NDANI YA GROUP NA KANISA LA MOTO WA YESU MAONO NA UONGOZI WA KANISA PAMOJA NA PASTOR RICHARD  YATAABATANA NA SADAKA HAYA. Kundi hili litaomba kila Ijumaa na Kila Atakeyeomba Atafunga masaa 12 Pia atakuwa na Sadaka Yake Ya Maombi ya Kufunga na Kuomba.  MAOMBI  YA KUFUNGA NDIYO NINI? ___________________________________ Nikuutisha mwili wako ukae bila kula au kunywa siku Zima ukae miguuni mwa Bwana. ■□□□□■Mistari Ya Biblia■ □□□□■ Mathayo 4:2  Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa. Zab 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. FAIDA ZA KUFUNGA NA KUOMBA  1:Maombi ya Kufunga Yana nguvu Sana Yakukuvusha Pale umekuwa ukishindwa kuvuka miaka na miaka. Mstari huu Soma; Mt 17:21  [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga. ••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°° ●Kupitia kitabu cha Mathayo 17:21 Mungu Umesema Kuna Mambo hayawezi Kufunguka Kwangu mpaka nifunge Leo hii ninaa...