Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2023

JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu

SOMO;JINSI YA  KUTOA SADAKA YAKO FUNGU LA KUMI.[ KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU) Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao TORATI.14;22 Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo mhimu kujua  faida na hasara za kutoa zaka kwa kurukaruka FAIDA ZA MTU ANAYETOAGA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU. 1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE. 2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA GIZA 3-KILA JAMBO LAKE HUSTAWI 4-BIASHARA KIPATO HUFANYA KITU KIDOGO KIKAMPA FAIDA 5-HAPOTEZI PESA MSHAHARA MALI YAKE FAIDA INALINDWA NA BWANA. 6-HUPONYA NA KUMWINUA MTU NK HASARA ZA YULE MTU ASIYETOA FUNGU LA KUMI. 1-ATAFANYA KAZI ASIONE FAIDA 2-BIASHARA PESA MSHAHARA MALI ZAKE ZITATEKETEA ASIJUE PESA IMEISHA VIPI. 3-ASILIMIA ANAZO CHACHE ZA KUJIBIWA MAOMBI. 4-HAPONYWI WALA HAPOKEI ZAIDI YA KUPOTEZA. KUNA AINA MBILI ZA KUTOA FUNGU LA KUMI. 1-KUHUBIRI INJILI KUWAKOMBOA WALIOPOTEA NA KUWAOMBEA WAGONJWA NA KUWATEMBELEA KUWATIA MOYO 2-KUTOA PESA AMBAYO HUANZIA SH.100 KATIKA 1000   10...

SOMO:2023 #IJUE NDOTO YAKO

SOMO:IJUE NDOTO YAKO MAANA YAKE UNAJULISHWA NINI? Tunaongozwa na AYUBU:33:14-15 Mwanzo;37:5-20 Yeremia:23:23-32 Danieli:2;5-45 Motto : 2023 Ni Mwaka Wa Majibu. ZABURI. 20:1          UTANGULIZI  Ndoto huwa ni taarifa anayopewa muotaji juu ya jambo litakalotokea au Linaloendelea wakati huo au lilishapita Siyo kila ndoto ni Ya Mungu hata shetani huweza kumuotesha mtu ndoto na si shetani tu  hata  akili ya mtu anapochoka na mawazo ya kufikiria Jambo au kulipenda jambo Sana Usiku akilala huweza kuota Sasa unawezaje kutofautisha Ndoto a Anayokuotesha shetani  na Mungu fatana nami katika somo hili Naitwa Bishop Richard kutoka Kanisa la Moto Wa Yesu  Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768 nakukaribisha katika Somo hili litakalokufanya ujue maana ya ndoto yako NDOTO ZIPO MAKUDI MATATU. 1:NDOTO ZA MUNGU= Hizi huwa ni ndoto unazoziota zisizo za kutisha au kukimbizwa ndoto nzuri zote huwa za Mungu Na Lengo lake kukuotesha kukujulisha jamb...