SOMO:WITO WA MUNGU
SOMO; WITO WA MUNGU Vitabu Rejea Kutoka;3:2-7 Yona;1;1_10 YEREMIA;1;1-10 Waefeso;4;1_6 Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa FB; Kanisa la Moto Wa Yesu Akaunt Bishop Richard Tz Tiktok :Moto wa Yesu WITO Ni nini? Ni sauti unayoisikia kufanya kazi ya Mungu. Au Ni Sauti inayokuita nakukupa maelekezo ya kufanya au Ni Kaulitz mbiu ya Maisha Yako. UTOFAUTI KATI YA WITO NA HUDUMA Wito ni Sauti ya mtu kuitwa na Mungu Akaitika HUDUMA ni Mzingo anaopewa na Mungu Mfano; Unasikia kuchukia dhambi au kuumia watu wanavyoteseka ujue unawito wa kuwasaindia hao watu na Huduma inakuwa jinsi utakavyojitoa kuwawezesha waondokane na mateso hayo. UTOFAUTI KATI YA MAONO NA HUDUMA MAONO; Ni Picha Ya baadae katika HUDUMA yako HUDUMA ni Mzingo ulioubemba au ni ujumbe uliomo ndani yako uliopewa ufikishe kwa walengwa au wahusika anaowalenga Mungu. WITO HUZAA MAMBO MAWILI. 1:HUDUMA huzaliwa na mtu aliyeitwa na Mungu. 2;MAONO huzaliwa na mtu aliyeitwa na Mungu JINSI...