SOMO:SABABU TANO ZA MWANAMKE KUUMBA.
SOMO: SABABU TANO ZA MWANAMKE KUOLEWA AMBAZO MUNGU ALIKUSUNDIA. Na mwanamke wa Kwanza Kuumbwa alikuwa Hawa Ni Kwanini Huyu Mwanamke aliumbwa aliumbwa kwa kuwa kulikuwa na Adamu ambaye Aliitaji Msaindizi Na Mungu akaona Ni vyema hawa apelekwe Kwa Adamu akawe msaindizi wake. Awe faraja yake asijiweke katika upweke. Tunasoma; Mwanzo 1:26-27 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth. [27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female creat...