Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2022

IBADA YA MAZISHI KUONGOZA

IBADA YA MAZISHI 1;Kwanza mnawaona wafiwa,  mnaulizia kama wana sanda na Sanduku. 2;Kisha wanaomuona marehemu ni watu wa jinsia yake.  3:Mnafungua ibada kwa maombi. Kama kuna nyimbo za maombolezo zinaimbwa. 4; Wachungaji wanaingia ndani kwa maombi, mwili unatolewa nje. 5:Baada ya hapo anakaribishwa mnenaji. 6:Akimaliza anakaribisha matangazo ya watu wa nzengo, msemaji wa familia kama wameandaa chakula mnashiriki, baadaye naelekea malaloni.  7;Ibada ya malaloni anakaribishwa mtu wanafungua kwa maombi kisha 8 Anakaribishwa mtumishi kwa kusimamia mazishi. Mwili unashushwa kaburini, anahubiri kwa kifupi. 9; Akimaliza anaalika ndugu jamaa na marafiki kuweka udongo kidogo, kisha historia ya marehemu, mashada, matangazo na  10;mwisho mnahitimisha kwa maombi. IBADA YA MAZISHI INAISHA

Bishop Richard Group

BISHOP RICHARD GROUP KARIBUNI KATIKA GROUP LA PASTOR RICHARD  LIMEJIKITA KUKUFUNGUA KUPITIA  1:Kukufundisha Neno la Mungu 2;Kukujengea ujasiri wa kuomba mwenyewe na kujisimamia mwenyewe  3;Darasa la Mahusiano yaani ndoa na uchumba  4;Shuhuda mbalimbali  Kupitia madhabahu hii ya moto wa Yesu Mungu anayotenda 5:Ushauri wa Kiroho na Kuokoka kwa wanaokoka Kila Ijumaa group lote huwa Tunakuwa na Maombi Ya Kufunga na Kuomba Tunaandaa Sadaka Yetu ya Maombi Ambayo Tunaiombea mahitaji matatu kisha hiyo sadaka unaituma kwenye madhabahu hii kupitia M-Pesa +255759861768 Tigo Pesa +255710889892 Bank CRDB 🏦 0152361572400 West union Jina Richard Julius Kushoka nchi Ya Tanzania  Jinsi yakuiombea Sadaka Yako Ya Ijumaa unayekuwa umefunga unaomba hivi. Kupitia sadaka hii ya maombi naileta kwako Mungu Baba ipokee ikaongee kwa mahitaji yangu haya matatu  1;Nataka nipate kiwanja kabla ya mwezi huu kuisha 2;Mchumba wangu Akatoe mahari kabla ya mwezi huu kuisha 3:Nipate kazi...