IBADA YA MAZISHI KUONGOZA

IBADA YA MAZISHI
1;Kwanza mnawaona wafiwa, 
mnaulizia kama wana sanda na Sanduku. 2;Kisha wanaomuona marehemu ni watu wa jinsia yake. 
3:Mnafungua ibada kwa maombi. Kama kuna nyimbo za maombolezo zinaimbwa.
4; Wachungaji wanaingia ndani kwa maombi, mwili unatolewa nje.
5:Baada ya hapo anakaribishwa mnenaji. 6:Akimaliza anakaribisha matangazo ya watu wa nzengo, msemaji wa familia kama wameandaa chakula mnashiriki, baadaye naelekea malaloni. 
7;Ibada ya malaloni anakaribishwa mtu wanafungua kwa maombi kisha

8 Anakaribishwa mtumishi kwa kusimamia mazishi. Mwili unashushwa kaburini, anahubiri kwa kifupi.
9; Akimaliza anaalika ndugu jamaa na marafiki kuweka udongo kidogo, kisha historia ya marehemu, mashada, matangazo na 
10;mwisho mnahitimisha kwa maombi.

IBADA YA MAZISHI INAISHA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.