SOMO;DALILI ZA MIZIMU
DALILI HIZI ZINAKUJULISHA UNATESEKA NA ROHO ZA UKOO YAANI MIZIMU YA KWENU. ___________________^^^^^^^^^^^^^____^^^______ 1;Kila Utakachofanya Kinakufa Uaze Biashara itakufa mahusiano Yanakufa nk. 2:Unakuwa natatizo ambalo ndugu yako analo au shangazi au mjomba mfano; Dada yako Amezalia nyumbani nawe utazalia nyumbani kaka yako Anamaisha ya yasiyoeleweka nawewe unakuwa hivyo. 3;Unaishi maisha ya kufata historia Ya Ukoo wako au Familia mfano Baba yako amekufa na kisukari nawewe kisukari kinakufata. 4;Utakuwa unaota watu waliokufa eiza inaongea nao au kula nao. 5:Unakuwa mtu wakuota upo kijijini kwenu au shule za msingi 6:Utakuwa unaota Ng,ombe, Unakuwa Unaota Wazungu, Wamasai unaota upo porini nk 7;Mnakuwa na mtiririko unaofanana kimaisha. Roho za mizimu huwa zinakaa zikidai uhalali wa ukoo na Kujiondoa Unatakiwa Ufate hatua kama nilivyoelekeza Soma kwa umakini usiruke hata step moja ni hatari kwa mtu Ambaye zinamtesa KAMA BADO UNATESWA NA MIZIMU AU UNAJIONA VIASHIRIA HI...