SOMO:FOMULA YA KUPATA MKE/MME WA KWA MUNGU
SOMO: JINSI YA KUPATA UBAVU WAKO. Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Karibuni Tuponyane Kwenye Kipengele hiki Jifunze Somo Hili Unaetaka Kupata mke/mme mfikie ndoa. Kila kitu huwa kinafomula Hakuna Jambo unaloweza kulisimamimisha bila kuliwekea Fomula Ndoa ya Kutoka kwa MUNGU inafomula Ni tofsuti na MKE/mme unayempata kwa Akili Zako. MAMBO HAYA YAFANYE UKIWA KWENYE UTAFUTAJI WA MKE/MME 1:ANZA KWA KUMPENDE MUNGU KWA AKILI ZAKO ZOTE NA MOYO WAKO WOTE. Mathayo 22:37 [37]Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. UKIMPENDA MUNGU MAMBO HAYA YATAJIDHIHIRISHA 1;Utampata mtu Sahihi kwa muda Sahihi 2;Utampata mtu mwenye Sifa unazotaka 3;Hatua Zenu kwenye mahusiano hazitaishia Njiani 4;Utakuwa Ushuhuda kwa Wegine 2:USIZINI NA MTU AMBAYE HAJAKUTOLEA MAHALI WALA KUJIRAHISISHA BINT UNATAKIWA UKIMBIE DHAMBI YA UZINIFU. Mathayo 5:27 [27]Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; ππΏπ MAANA UKIZINI NA MTU A...