Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2021

SOMO: MAJIRA YA BWANA YAMEWADIA

          SOMO: MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA Tufunue Zaburi ;102:13, Ezekiel;7;7-12, Daniel;7;12-25 Daniel:2;21, Luka:21:8-22 Kunawakati Unaweza Ukawa Unateswa Majira Na Wakati Kwa Kushindwa Kuelewa huu Ni wakati ngani Wakati Uliosahihi wa Bwana ukiwadia huwa Unaweza ukaendelea Kuumizwa au Kupitia Majaribu Ambayo Bwana Amekusundia Kukubariki Kwa Ajiri Ya Muda Wa Bwana. Leo Nakukaribisha Ujifunze kuyajua Majira ya Bwana Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Moto wa Yesu MAJIRA NI NINI? Ni muda uliopangiliwa na Mungu kukiendesha kitu Kama impendezavyo. MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA 👉🏿Maana Yake Wakati Ulio Sahihi wa Bwana. KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAJIRA YA BWANA. _________________________________________________ 1: MAJIRA YA BWANA YA KUKUPITISHA KWENYE MAPITO. Haya huwa Ni Majira Bwana Akiwa Anakuadaa nakukuimarisha Vizuri Kiroho nakukufanya uwe Mfano na Ukombozi kwa Wegine kwa kuwa hukupitisha hivyo Yeye...

UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MSICHANA

Picha
UTOFAUTI Kati YA Mwanamke na msichana Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa 1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao. 3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu. 4. Wasichana hujifikiria kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo. 5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi). 6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo. 7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wo...

MAOMBI YA UTIISHO

MAOMBI YA UTIISHO WENYE NGUVU MBELE YAKO 1;Maombi haya Yaombe Kila Siku unapotoka nyumbani 2:Maombi haya Ni Maombi ya Mamlaka Ya Kifalme 3:Unapoomba Tamka Kwa Kukanzia maneno Ninalidhibitisha Neno la Mungu mbele Yangu Leo Ninapotoka hapa Kwenda____Ninatuma nguvu ya UTIISHO ikaharibu kila mitengo ya Adui Zangu kila maneno ya Adui Zangu kila vikao vya uharibifu kila aliyesimama kuzuia mbele Yangu Kila Nguvu inayoandaliwa ya Rushwa Kila roho ya kucheleweshwa kila roho ya kupangiwa siku ya kurudi kila namna ya uharibifu hautasimama kwa Jina la Yesu Ni Neno linasimama Kutoka Kama Navyolikirii kwa Kusoma linasema(👉Kutoka 23:27 [27]Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikilia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao.)Nasema Leo hii Hakuna Adui atakaye Simama mbele Yangu Katika Jina la Yesu 🙏 Amen Rudia Mara 5 Kisha ndio nenda kwenye kazi zako @Pastor RICHARD Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Num...

SOMO: MWOGOZO WA KUWAJUA MALAIKA VIZURI

Picha
MWONGOZO WA KUWAJUA MALAIKA WATENDAO   KAZI NA MUNGU MBINGUNI NA DUNIANI NA NAMNA WANAVYO TENDA KAZI. Najua umesha soma vitabu vingi au kuangalia mahubiri mbali mbali yanayo zungumzia kuwajua mapepo au majini na majina yao, sasa leo naomba tujifunze japo kwa ufupi juu ya malaika   ili tujue namna wanavyo fanya kazi kama wajumbe wa baraza la mbinguni kwani ufahamu huu utatufanya tuwe karibu na Mungu kama wengine wanavyo tumia mapepo au wanavyo kuwa karibu na majini.   karibu twende pamoja   MFANO WA MUONEKANO WA MALAIKA                                                                                        ...