Maombi mbalimbali
🌳🌳 *MAOMBI MBALI MBALI*🌳🌳 *1:Maombi yakufuguliwa* 2:coritho 10:3-6 Mambo ya kuzingatia uingiapo maombi haya a. TOBA YA KWELI b, Kumkiri Kristo (Uokoke uachane na Yale ya kale na Uwe mfatiliaji wa Mafundisho na injili kuihubiri kwa wengi 3:Imani Uwe na Imani Baada ya Kujichunguza ukajiona upo nayo hii rahisi kufughuliwa Anza na maombi haya kuombea kufuguka kwa matatizo yako 1:Agalia Tatizo linalokutesa huwa linaanzia wapi 2:Jiulize kwanini huwa hivyo 3:majibu unayopata Sasa ANZA kuomba kwa kufuga mlango unaoingiza Tatizo Maombi Yake Baba Ansate Katika jina la Yesu Ninaomba nisamehe Baba nimekukosea sana ndio maana maisha yangu yamevurugika mimi mwanao___Natubu najuta naahidi sitakuacha tena nakataa hali___YA mimi(Taja Hali iliyokufuga au iliyomfunga unayemuombea) nafugulia Afya nakufuga hali ya___sitaki niishi maisha hayo katika jina la Yesu Mnazareth Amen Hakikisha unalikataa Tatizo na Roho zote zilizoshika wew...