Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2025

NDOTO ZA WATOTO NA KUNYONYESHA

NDOTO ZA WATOTO NA KUNYONYESHA.  Ndoto hizi huwa ni Taarifa Mungu hukupa hizi ndoto hulenga uzao wako hulenga kukujulisha Jeshi lilokufunga.  AYUBU: 33:14-15 NDOTO ni Taarifa Mungu Anakujulisha Jambo lilopo na linalokuja na lilopita.  NDOTO                                              ๐™ˆ๐˜ผ๐˜ผ๐™‰๐˜ผ 1:๐™๐™ ๐™ž๐™ค๐™ฉ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™ฉ๐™ค ๐™๐™ฃ๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™ฎ๐™š๐™จ๐™๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™๐™ช๐™ฃ๐™– mtoto๐Ÿ‘‰๐™๐™ฃ๐™–๐™Ÿ๐™ช๐™ก๐™ž๐™จ๐™๐™ฌ๐™– ๐™ช๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™ช๐™ข๐™ž๐™ ๐™ž๐™จ๐™๐™ฌ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฃ๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™ฎ๐™š๐™จ๐™๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฏ๐™ž๐™ข๐™ช.  2:๐™๐™ ๐™ž๐™ค๐™ฉ๐™– ๐™‰๐™™๐™ค๐™ฉ๐™ค ๐™ช๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™ฉ๐™ค๐™ฉ๐™ค ๐™ข๐™˜๐™๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™๐™–๐™ช๐™ฃ๐™– mimba๐Ÿ‘‰Unajulishwa umefungwa Tumbo lako na wachawi usizae.  3:Ukiota Upo na WATOTO Kwenye ndoto๐Ÿ‘‰Unajulishwa unatumikishwa kulea watoto kuzimu.  4;Ukiota mjamzito na ukiwa Kwenye ndoto umejifungua๐Ÿ‘‰Unajulishwa umezaa kuzimu na majini mahaba  5:Ukiota ndoto unamtoto halafu wewe una mimba๐Ÿ‘‰Unajulishwa Utajifungua Salama...

NDOTO ZA KUOTA MAGARI

Picha
NDOTO ZA KUOTA MAGARI.  Zekaria 6:1 Nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, yanatokea magari ya vita manne, yanatoka kati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa ni milima ya shaba. Auburn:33:14-15. NDOTO ni Taarifa Ya Jambo linalokuja au liliopo au lilishapita Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Kanisa LA Holy Spirit church Tanzania NDOTO za Kuota MAGARI humani Mambo yafatayo Kwenye Ulimwengu wa roho. 1:Gari au Usafiri humanisha Baraka za kimwili na rohoni.  2:Humanisha Huduma au Kazi Mtu Anayokuwa Anaifanya.  NDOTO NA TAFSIRI SAKE.  1:Ukiota upo sted gari limekuacha๐Ÿ‘‰ Unajulishwa Maendeleo uliyonayo yatacheleweshwa kiroho na kimwili.  Omba kukataa Kucheleweshwa 2:Ukiota Unaendesha gari๐Ÿ‘‰Unajulishwa Huduma au Kazi Yako itaenda Vizuri mno. Omba bariki NDOTO hii .  3:Ukiota Umeharibikiwa Gari๐Ÿ‘‰Unajulishwa Kazi Yako inaenda kuingia shida ya kuyumba.  Omba Kukataa ndoto hii. Nakataa kuhabika kwa Kazi kwa Jina LA Yesu. Ameen 4:Ukiota Upo ...

SOMO:NIFANYE NINI NIFIKE MBINGUNI

SOMO: NIFANYE NINI NIFIKE MBINGUNI.  YEREMIA;10:13_17 Mwanzo: Sura ya 7 Na 8 Mwanzo:27:28, 39 Kumb. Torati:14:35 Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Morogoro Veta Dakawa Karibuni Watoto Wa Mungu Tu jifunze Tunafanyaje nini nifike Mbinguni au Tupate Kigali na Sisi Kwa Mungu Sababu hatuwezi kumfurahisha Mungu Endapo Swali ndogo kama hili Tutasema Tufanye mema tu ndiyo Tufike Mbinguni Lazima Tujue Kuna visababishi vyakutufanya Tufanye Vizuri Na Tupate kukubalika katika Mbingu.  Mbinguni ni Makao Ya Mungu Wetu hapa chini ni Sehemu ya kuwekea Miguu Yake.  Tunaposema "MUNGU" Ni Roho lakini  kazi zake anazifanya Kimwili na kiroho Mwanzo 1:2   Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. KUNA MAMBO HAYA YAFANYE ILI  UFIKE MBINGUNI 1;MPENDE MUNGU WAKO.  Vitabu:Kumb.Torati.6:5 Luka. 10:27 Kumpenda Mungu huhusisha maeneo Manne ya mwili wako...