Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2024

SOMO;MAOMBI KUJIACHANISHA (KUJITENGANISHA)

SOMO: MAOMBI YA KUJIACHANISHA. Kuna vitu vingine ili upone jiachanishe navyo  Katika Maisha ya ulimwengu wa roho huabatana na maisha yetu ya Damu na Nyama Kwa hiyo huwa Tunapitia hali magonjwa madhaifu madeni na Mikosi mbalimbali ambayo ipo kiroho imeshikama nasi au kuabatana nasi. Mfano: Unaumwa ugonjwa upo ndani ya Damu umeshikamana na Damu yako mfano Unateswa na madeni madeni yapo kwenye nafsi yako yaani kiu ya kukopa imeshikamana nawewe. KWA UFUPI NATAKA NIMANISHE KWAMBA UNATAKIWA UJIACHANISHE NA KILA HALI INAYOKUTESA;   MISTARI YA KUSIMAMIA    ===================== Ayubu 9:27 Nikisema, Mimi nitasahau kuugua kwangu, Nitaacha kununa uso nikachangamke moyo; "Maana yake huyu Ayubu alikuwa Akiumwa Akaamua Ajitenge na magonjwa yaliyomtesa. Wagalatia 1:15 Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake Mungu ndiye Mwazilishi wa Kuviachanisha au Kuvitenga Vitu na Vigine. Mfano kama kichanga kinavyotenganishwa na Tumbo la Mama. Mwanzo 1:4...

SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO NDANI YA NDOA

SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO KWENYE MAHUSIANO YENU. Katika ulimwengu wa roho zipo roho hutumwa kuwafarakanisha wewe na mweza wako kuhakikisha mnagombana gombana kila mara mkikaa siku mbili na Amani siku ya Tatu mnagombana hii hali siyo ya kuinyamazia Ukiona inakupata Twende Tuingie Maombi Pamoja na utaendelea kuomba ulipo mpaka itoke. 👉MSTARI WA KUSIMAMIA           ðŸŒ´Malaki 2:15 🌴  Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Sisi tutachukua mstari wa mwisho: Mtu Awaye Yote Asimtendee mke wa ujana wake mambo ya hiana. Imesemwa Katika Kitabu cha Malaki;2;15  "Baba Yangu Uliye keti katika kiti cha Enzi ninakataa kila roho iliyounganishwa kuwa inatungombanisha mimi mwezangu eidha katika maneno au kauli zetu hii hali inayoendelea mimi siitaki na Siipendi  Kabisa...