SOMO; NYOTA YAKO NI UTAMBULISHO WAKO KIROHO NA KIMWILI
SOMO:NYOTA NI UTAMBULISHO WAKO KIROHO NA KIMWILI. UTANGULIZI. Tunajifunza Biblia Leo Tunaona Watu waliotambulishwa kwa nyota zao Yesu Wakuu wa nchi walimtambua na Wasomi mbalimbali. MUSA ni watu waliotambulishwa kuwa wananyota ya uongozi Mungu akaona anakitu. Kutoka sura 3; Tunaona Haruni naye anatambulishwa Ananyota ya uongeaji kwa hiyo Mungu akaamua ampe Musa Haruni kutokana Haruni alikuwa ananguvu ya ushawishi lakini hana uongozi ndani yake Kama Musa na Yoshua. Lakini Tunaona watu wengi kama Daniel Yusufu Kina Daudi Sara Hanna Kina Mariamu Biblia inawatambua kama watu waliokuwa na nyota Ambao Mbingu ziliwatambua ndiyo maana wakaitwa wanawake bora kuliko wote. Na wakapata upendeleo kwa Mungu kutokana na nyota. Soma. MATHAYO;1;18-24 Mathayo 1:23 [23]Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi. NAITWA PASTOR RICHARD NIPO MOROGORO VETA DAKAWA WHATSAPP +255759861768 A:MAANA YA NYOTA...