Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2016

MAOMBI YA KUSIMAMISHA HUDUMA HOLY SPRIT MINISTRY KWENYE VITUO.

ANDIKENI KATIKA KARATASI MCHAPE WATUMISHI WA MOTO WA YESU. HATUA YA 1 MAOMBI YA TOBA NA MSAMAHA NJISI YA MAOMBI. eeh bwana yesu nakukimbilia wewe baba yangu natubu maovu yangu kabla ya kukujua niliofanya nakri nilipotea sasa nimeijua kweli yako mimi mwanao nirehemu.KWA UPENDO MWINGI NITUMIE UPENDAVYO WEWE NITAWALE YESU DANI YANGU.AMEN MAOMBI YA MSAMAHA. eeh bwana yesu naomba unisamehe katka njia zangu matendo yangu na mimi taja jina lako nisamehe sana nalia mbele zako nimekukosea mengi makosa ya kuzini uogo nilikunywa pombe nilienda kwa waganga nilidharau neno lako nk mimi leo taja jinalako nimejua nimekukosea eeh baba najishusha mbele zako naitaji nikawe mtoto mwema baba ukanitumie kuokoa roho za watu ukanitumie kulitangaza neno lako nakiri nitakutumikia ktk holy sprit ministry huduma ya kuongozwa na roho siku zote nakumtii baba yangu wa kiroho mch.richard MAANA KUPITIA YEYE MPAKA UMENIONA MIMI.AMINA MAOMBI YA KUTAWALA ANGA. Baba ktk jina la yesu nasimama mbele zako kukukabidh...

TESTIMONY FROM ALL NATIONALS

Picha
HI DADY AM KERRY FROM CAMEROON GIVE THANK YOU LORD FOR ANSWER ME MY PRAYER GOD ANSWER ME WORK AFTER PRAY LONG TIME AND PRAY FOR ME ME YOUR DOUGTHER KERRY GRAY FROM CAMEROON

TESTIMONY FROM ALL NATIONALS

Picha
IRIS FROM DONATH GIVE THANK YOU GOD FOR HEALING WEDDING TAR.23/6/16 GOD IS EBLE .

SIKILINZA USHUHUDA WA BINTI ALIYEONZA MGUU KWA KUCHELEWESHEWA HUDUMA HOSPTAL YA GEITA

Picha
ANAITWA MONICA BINTI HUYU ALIGONGWA GARI NILIMKUTA MGUU UMEANZA KUONZA KWA KUKOSA HUDUMA HAPA MKOA WA GEITA HOSPITAL YA RUFAA NILIONGEA NAE AKASEMA ANASAFISHWA KIDONDA MPAKA MADOKTA AWAPINGIE MAGOTI MAMA MZAZI ALIONGEA HUKU AKIWA NA UCHUNGU MADOKTA WANAMZUNGUSHA TU MPAKA WAMESABABISHA BINT YANGU ANAONZA MGUU MCH. BABA MUOMBEE TU MWANANGU .

USHUHUDA WAMATENDO YA MUNGU GEITA DELIVERENCE PRAYER

Picha
BAADA YA KUTEMBELEA HOSPITAL YA RUFAA MKOA GEITA NIKIWA NA WAGONJWA BAADA YA MAOMBENZI