MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025
MAOMBI YA USIKU WA MANANE LEO.2025 SAA;6;00Usiku mpaka Saa;10:00Alfajiri Ukiamka Huu Muda ingia Vitani Ombea kila Jambo unaloona haliendi Waunge na rafiki zako Kwenye Group wanaopenda masomo na Maombi unawapa utaratibu kabla hujawaunga Karibu Sana Tambua Usiku huwa ndiyo muda mzuri Wa Mungu Kuwashughulikia Adui Zako na Matatizo yako kuyashughulikia. HAKIKISHA UMEOMBA TOBA KABLA HATUJAANZA KUPINGA NA KUSHAMBULIA MSTARI WA KUSIMAMIA Kutoka;11;4 4 Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri. Rudia kusoma chukua point hii Mungu Apite kwako TUTAOMBEA MAMBO MATATU 1;Roho Ya Uzuizi Kwenye Wokovu Wako. Ulishawahi Kujiuliza Kwanini mliokoka wengi wezako walishaacha Wokovu wakawa watumwa wa dhambi wewe unaendelea vizuri nakujitakasa mara kwa mara. Ipo hivi Unapookoka Shetani huandaa roho chafu mbalimbali za kuhakikisha Huendelei Mbele Na hutumwa vitu mbalimbali vya kukatisha tamaa na kupelekea uache woko...