Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2016

MBINU SABA ZA MAFANIKIO 1"NGUVU YA WAZO

○SOMO●MBINU ZA KUFANIKIWA KUPITIA  WAZO. *Kwa nguvu ya wazo mtu hujenga nakubomoa maisha yake . * Kwa nguvu ya wazo mtu hujitengenenzea kushinda au kushindwa . *Kwa nguvu ya wazo mtu hujiletea furaha au huzuni . *Kwa nguvu ya wazo mtu hujiumbia utajiri au umaskini . nguvu ya wazo ndio nguvu kubwa kuliko zote duniani nguvu ambayo binadamu amepewa bure kabisa . Kwa Nguvu Ya Wazo mtu hujibiwa au asijibiwe ukweli ni kwmba hakuna mwisho kwenye nguvu ya   wazo sababu ni nguvu ya kiroho maana wazo huwezi kulikamata ndio nguvu pekee itakayokufanya uweze kufanikiwa hauwezi fanikiwa kwa damu na nyama Isaya 55:7-9 [7]Mtu mbaya na aache njia yake,  Na mtu asiye haki aache mawazo yake;  Na amrudie BWANA,  Naye atamrehemu;  Na arejee kwa Mungu wetu,  Naye atamsamehe kabisa.  Let the wicked forsake his way, and the unrighteous man his thoughts: and let him return unto the LORD, and he will have me...