ADUI YAKO WA MAENDELEO NIFAMILIA YAKO. MATHEW:10;36

FAMILIA HUWA CHANZO CHA WEWE KUTOENDELEA.

KWANINI HUWA CHANZO
KILA UTAKACHOFANYA WATAKUDHARAU  NA KUONA KANA KWAMBA UMEKOSA CHA KUFANYA KILA MMOJA HATATHAMINI UTENDACHO ZAIDI YA KUKUVUNJA MOYO NA KUKUKATISHA TAMAA.

PIA UKIWA UNAKAA NA FAMILIA HAWATAKUPA KAPANI YA MAENDELEO ZAIDI KUKUANGALIA TU HATA UKIFANYA CHOCHOTE KIZURI NDUGU ZAKO HAWATAKIONA.

MAENDELEO HUJA TARATIBU KUTOKANA UTAKAPOKUWA NA NANAFASI YA PESA WOTE WATAKUANGALIA WEWE.HII HUMFANYA MTU AWE NA MAJUKUMU MENGI MPAKA AABULIE MADENI KUSAINDIA NDUGU ZAKE YEYE HATAFANYA LOLOTE LA MAENDELEO KUTOKANA NAKUONGOPA LAWAMA

LAWAMA HUJA PALE UTAKAPOFANIKIWA NA NDUGU UTAKAOWAONA WANAJITOKEZA KUKUJUA NI WENGI.

USHAURI INATUPASA KUWATIA MOYO NDUGU ZETU WANAJITUMA KUINUKA KIMAENDELEO NA KIMAISHA.

MUNGU AKUBARIKI KWA KUJIFUNZA KITU

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.